Remember Mchongoano Them Days-“To Come Soon On Butdoisay..”

Posted on September 1, 2008. Filed under: Uncategorized |

Oera Onyango ,niligongana na hizi mchongwano deadly ni zurura kwa internet.Enjoy-
1)Wewe ni mlafi mpaka ukimaliza kuvuta fegi unalamba vidole
2)Nasikia kwenu mume endelea ,hadi mko na teabags za uji.
3)Wewe ni fala hadi una-rewind CD na biro
4)Doggy yenu imekonda hadi ikpewa jina in collapse juu ya mzigo
5)Grandbuda yako ni mzee,alikuwa shamba boy was Garden of Eden
6)TV yenu ni deadly ,ukiiwasha in sema “Please insert Pin Code”
7)Ati wewe ni mjinga,mamako aki kutuma ukanunwe coour tv ,una muuliza “Ya colour gani”
8)Nyumba yenu ni ya nyasi,sa wezi wakicome wanashout “fungua ama tulete ngombe”
9)Umeunga vinoma ,mpaka we hupeel maembe kama njugu
10)Mshuto yako ni kali hadi mende za kwenu zina sema afadhali doom
11)We ni fala uli pika chapo na Fair and Lovely ndio zitoke Light and Soft
13)Madha wako ni fala ye huu enda kubuy barsoap kwenye bar
14)Ati manzi wako ana mdomo chafu ,aki tema mate ina geuka mbolea
15)Nyanya yenu ni mzee ,mpak gav ika mnyaganya ID
Kweli ni zamo tulipo chongoana.

sent in Tony Odera

Advertisements

Make a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

9 Responses to “Remember Mchongoano Them Days-“To Come Soon On Butdoisay..””

RSS Feed for BUTDOISAY? Comments RSS Feed

eeeeh noma tu sana.my ribz are achin bana.ongeza some more

manzo choo yenyu ni deep mpaka mtu akienda unasikia (somebody save me……)

those ones cku pitia hizo ni noma noma sana

hizi vitu ni eadly manze shieet!!

i really really love the michongoanos they make me laugh and laugh. i wonder where these guys get this things from, all i can say aah nyi wote ni wanoma ilove you all mmmmmwa.
and then do you know what kuna mwingine alinishow ati mi ni mweusi hadi nikisimama mahali kuna makaa mtu akicome kubuy kila mtu husema ati nataka hiyo kubwa

ati unajua nini loo yenu ni deep hadi ukienda huko wakati unasimama ukitoka ndio unasikia nyuma yako paa

ati nyi kwenu ni wengi hadi mkipika chapo nyii hufanya photocopy

wee ni mfupi hadi ukitaka kuchana nywele wee hupanda stool

ati nyanyako striker wa man utd


Where's The Comment Form?

Liked it here?
Why not try sites on the blogroll...

%d bloggers like this: